Polisi wanasa kilo 600 ya bangi yenye dhamani ya shilingi milioni 18 mjini Busia

Аватар автора
Гравитационная грань
Polisi mjini Busia wamenasa kilo zaidi ya 600 ya bangi yenye dhamani ya shilingi milioni 18 iliyokuwa ikisafirishwa kwa magunia ndani ya gari la kubeba maiti.

0/0


0/0

0/0

0/0