Israel Mbonyi - Nitaamini

Аватар автора
Энергия ритмической драмы
Follow Israel Mbonyi on Your Love and support to Israel Mbonyi ©12stones Nita Amini ____________ Verse : Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya, Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu Chorus : Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe sitaogopa kamwe Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu, Si na mashaka wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yoote, Bado nitaamini Verse : Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumu Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu Ni na historia maalum,We ni chemchem ya uzima. Outro : Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu

0/0


0/0

0/0

0/0